![Middle simba](/img/default-banner.jpg)
- 4 023
- 116 223 086
Middle simba
Приєднався 6 сер 2017
East African number one UA-cam channel for Entertainment news,Sports as well as Politics News owned By Middle simba.
KANUNI NA MUONGOZO
Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
Ads: call 0767335755
#WeAreEverywhere

Відео
Kumekucha! HARMONIZE ajibu mapigo ya DIAMOND,kaenda kwa GSM na kiatu kama alichoendanacho DIAMOND...
Переглядів 3,2 тис.6 годин тому
Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #diamondplatnumz
Mkenya aliefuta wimbo wa sherehe wa HARMONIZE afunguka mazito,adai haijatosha anaenda Mahakamani kus
Переглядів 5 тис.16 годин тому
Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #harmonize
Utamuonea huruma MARIOO wimbo wake bado haujafikisha views milioni moja,sababu ni KOMASAVA ya DIAMON
Переглядів 12 тис.2 години тому
Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #diamomdplatnumz
Tukiitengeneza vizuri singeli itakupeleka duniani kama Amapiano na Afrika kusini,tazama wazungu wali
Переглядів 5 тис.2 години тому
Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #Mabantu
DIAMOND sasa ni msanii wa Dunia,tazama alivyojaza Barcelona Spain,watu wamefurika,KOMASAVA imeimbwa.
Переглядів 15 тис.2 години тому
Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #diamondplatnumz
Mtangazaji wa EFM JONIJO ameyaoga matusi baada ya kusema JASON DERULO kaisha na kudai DIAMOND kakose
Переглядів 20 тис.4 години тому
Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #diamondplatnumz
Tazama wazungu walivyopagawa DIAMOND akitumbuiza KOMASAVA aliyomshirikisha JASON DERULO Ujerumani...
Переглядів 8 тис.4 години тому
Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #diamondplatnumz
Ni hatari! Video ya KOMASAVA ina-trend Ujerumani,Marekani,Uholanzi,uingereza etc,JASON DELURO akiri
Переглядів 19 тис.9 годин тому
Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #Komasava
DIAMOND kamfanyia kitu mbaya MARIOO,aweka rekodi hii kwenye KOMASAVA aliyomshirikisha JASON DERULO..
Переглядів 25 тис.9 годин тому
Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #diamondplatnumz
DIAMOND hashikiki,anazidi kuwavuruga wamarekani,JASON DERULO nae acheza KOMASAVA,tazama hapa.
Переглядів 8 тис.12 годин тому
Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #diamondplatnumz
UTACHEKA:Achana na kina joti,video hii ya Comedy imewachekesha wengi,mtazame hapa fundi matata,.
Переглядів 2,7 тис.21 годину тому
Bonyeza link hii kutazama 👇👇 ua-cam.com/video/pzm6Lq9-294/v-deo.htmlsi=2viEQsIUAIxqVN1l Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #SelemaniRashid
Majonzi yametanda baada ya kifo cha producer wa wimbo wa Huyu hapa wa MBOSSO,jumbe nzito zimeandikwa
Переглядів 5 тис.День тому
Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere
HARMONIZE ameachia ngoma mpya SHEREHE,inaendana na ENJOY ya JUX na DIAMOND,producer ni S2KIZZY,tazam
Переглядів 7 тис.День тому
Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #harmonize
Kiatu cha milioni 3.6 cha DIAMOND chazua gumzo Nigeria,wengi wamebaki wakishangaa,alikivaa KANYE WES
Переглядів 14 тис.День тому
Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #diamondplatnumz
Ni hatari! SHEIKH AHMED apokelewa na watu wengi baada ya kurudi kwao Congo,Tazama hapa ni balaa.
Переглядів 1,2 тис.14 днів тому
Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #SheikhAhmed
DIAMOND hashikiki! ngoma yake SHU imeipita SINGLE AGIAN ya HARMONIZE streams spotify,ni namba moja..
Переглядів 9 тис.14 днів тому
DIAMOND hashikiki! ngoma yake SHU imeipita SINGLE AGIAN ya HARMONIZE streams spotify,ni namba moja..
Hii ni kufuru,haijawahi tokea,REMA leo amelipwa bilioni 7.9 kuimba wimbo mmoja tu kwenye harusi hii
Переглядів 6 тис.14 днів тому
Hii ni kufuru,haijawahi tokea,REMA leo amelipwa bilioni 7.9 kuimba wimbo mmoja tu kwenye harusi hii
ZUCHU afichua siri kuwa alimuimbia wimbo huu DIAMOND,akiri kuwa anampenda sana,tazama akiimba live..
Переглядів 11 тис.14 днів тому
ZUCHU afichua siri kuwa alimuimbia wimbo huu DIAMOND,akiri kuwa anampenda sana,tazama akiimba live..
VIDEO:Mrembo huyu wa Kenya aitikisa mitandao kwa kufanana na ZUCHU,tazama hapa video zake kama MAPAC
Переглядів 23 тис.14 днів тому
VIDEO:Mrembo huyu wa Kenya aitikisa mitandao kwa kufanana na ZUCHU,tazama hapa video zake kama MAPAC
Ukiachana na nyimbo za ROSE MUHANDO,huu hapa wimbo umewavutia wengi,AKUNA WA KUPINGA by EMA,tazama
Переглядів 96621 день тому
Ukiachana na nyimbo za ROSE MUHANDO,huu hapa wimbo umewavutia wengi,AKUNA WA KUPINGA by EMA,tazama
Baada ya RAYVANNY kushindwa kufanya show CANADA,ALIKIBA akinukisha,ajaza watu CANADA,tazama hapa.
Переглядів 3,9 тис.21 день тому
Baada ya RAYVANNY kushindwa kufanya show CANADA,ALIKIBA akinukisha,ajaza watu CANADA,tazama hapa.
GOOD NEWS kwa watu wa Congo,SHEIK AHMED BIN NGOY QADHWI kutua Congo hivi karibuni,anafanya makubwa..
Переглядів 46521 день тому
GOOD NEWS kwa watu wa Congo,SHEIK AHMED BIN NGOY QADHWI kutua Congo hivi karibuni,anafanya makubwa..
Kama unampenda Mwenyezi Mungu basi tazama hii utaipenda,Qaswida za MORISHO SALEH zinazovutia na ujum
Переглядів 77121 день тому
Kama unampenda Mwenyezi Mungu basi tazama hii utaipenda,Qaswida za MORISHO SALEH zinazovutia na ujum
DIAMOND kuonyesha ZUCHU kampita HARMONIZE ndicho chanzo cha HARMONIZE kumjibu kwa kejeli,tazama hapa
Переглядів 12 тис.21 день тому
DIAMOND kuonyesha ZUCHU kampita HARMONIZE ndicho chanzo cha HARMONIZE kumjibu kwa kejeli,tazama hapa
Msanii BIN JUSTIN KS ameachia video ya wimbo wake mpya,ni balaa,anajiita SIMBA kama DIAMOND,tazama.
Переглядів 2,8 тис.21 день тому
Msanii BIN JUSTIN KS ameachia video ya wimbo wake mpya,ni balaa,anajiita SIMBA kama DIAMOND,tazama.
Msanii gani kati ya hawa ni mkali wa muziki wa AMAPIANO kutoka Tanzania? MARIOO,DIAMOND,HARMONIZE...
Переглядів 4,7 тис.21 день тому
Msanii gani kati ya hawa ni mkali wa muziki wa AMAPIANO kutoka Tanzania? MARIOO,DIAMOND,HARMONIZE...
ALIKIBA atamani CHRIS BROWN acheze wimbo wake mpya,amwagia sifa DIAMOND kwenye KOMASAVA,tazama hapa.
Переглядів 5 тис.28 днів тому
ALIKIBA atamani CHRIS BROWN acheze wimbo wake mpya,amwagia sifa DIAMOND kwenye KOMASAVA,tazama hapa.
BURNA BOY aweka rekodi,ajaza watu 80000 London stadium,wanaijeria wametuzidi pakubwa,wasanii wetu...
Переглядів 5 тис.Місяць тому
BURNA BOY aweka rekodi,ajaza watu 80000 London stadium,wanaijeria wametuzidi pakubwa,wasanii wetu...
Tazama balaa la DJ TOTO MICHEL na MC MBEYA KILOZO marekani,ni noma,wakikutana kwenye event moto unaw
Переглядів 459Місяць тому
Tazama balaa la DJ TOTO MICHEL na MC MBEYA KILOZO marekani,ni noma,wakikutana kwenye event moto unaw
HARMONIZE na RAYVANNY waimbwa kwenye wimbo huu wa msanii BAZE B,amtaja FAHYMA pia,tazama hapa.
Переглядів 3 тис.Місяць тому
HARMONIZE na RAYVANNY waimbwa kwenye wimbo huu wa msanii BAZE B,amtaja FAHYMA pia,tazama hapa.
Ka-copy huyo
Jamaa anaiga sana
Mashoga watasema eti kamuiga MWAMBINO
Sasa hichi kichupi vp kwani angevaa refu kidogo visinge onekana hivi viatu aibu nione mie 😂😂😂
Kumbe anafatiliga kaka yake ka post nn
Nyinyi watanzania do munamzarahu lakini ss wakingomani tunahohishi marekani tunampenda
Ila cha simba kikali sana konde simba havai tena ivo harejei makombo ww ndo kwanza umeenda kuvitafuta
Mpumbavu huyo mtoto zake fake kwanza atia aibu
Huyo atapasuka msambq anaiga hadi anatia aibu hana jipya kutwa anamuota Diamond kafanya nini ili nae aige Diamond ni original sio feki huyo jamaa feki muigaji hata kaa aendee sababu hafanyi yake anaangaliq nani kafanya nini. Poor guy shame
Acheni uongo guys harmonize kwasasa ndo atakuwa msani namba one ukatae usikatae mond domo ni legendary
Kaz kwl kwl mwisho lisababishe Simba asije yanga day kuiga tu kama gay
Kawaida mtoto kumuiga baba
Yani kijana anapotezeawa muda sana Na Diamond
Alafu lilivyo lisenge eti likawaga linajielezea pale airport kwamba Diamond ananitengenezea fitna, senge hili siku likija kumchafua tena mond hatulionei huruma na tutalitukana vibaya au mnasemaje masela😂😂😂
Huyo mmakonde katoa linyimbo linaitwa sherehe lakini halijavuma sasa ukilinganisha matukio na jinsi alivyo vaa hilo buti pamoja na pensi utadhani ni mr nice anataka kurudi kwenye gemu baada ya msoto mkali, konde ni matakonzi 😂😂😂
WATANGAZAJI WA EFM awajielewi hata kidogo wanachuki sana na daimond platinum NASISI KAMA WATANZANIA TUJIFUNZE KAMA WENZETU WA KENYA TV KAMA HIZO SIO ZAKU SAPOTI KABISA KAMA WANASHINDWA KUSAPOTI VITU VETU BORA tusapoti TV zenye watangazaji wanao jielewa
Huyu middle finger ni pimbi Sana msishughulishwe na umbeya wake wa kinafki,,kijana badi anapambana Sana ila tatizo la huyu jamaa ni chawa wa diamond hili halina ubishi,,kunawasanii wengi sana wanaostahili kupewa heshima yao lakini ww content zko nizakusifia mtu mmoja kila uchwao,,hatukatai kuwa diamond ni mkubwa ila kwasasa naye anabebwa kama unabisha hili mwambie atoe ngoma asimshirikishe msanii yoyote alafu uone,, utasahau ya Marioo,. Nyinyi ndio mnaomkuza ila kiukweli Hana maajabu hili liko waz
Nimecheka kama mbwa ila harmo
It's high time kuacha ushamba ,kwani viatu vimeandikiwa Diamond pekeake?😂
Ola harmonize ubunifu ume muishia anahanza tu kuiga iga kama bahasha😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mmakonde fala sana 😂😂😂
Unahisha bro too much ku copy from your boss
Ila hamo mchokozi kwakweli
Uyu mpumbafu hamonarz anapenda sana kuiga,iga tu kila siku nasama uyuu jamaa ajielewi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Atabaki kuiga tu harmonize
KILANDAGE ANAPENDA KUMCOPY DIAMOND PLATNUMZ NA UKIANGALIA KWA JICHO LA TATU ZA kilandage ni fake
Kuiga ili akinaga plani yk kns kaonamondi kaenda na kile kiatu kwa Gsm na yy kaenda kutafuta kiatu chaonyo nay kaenda kwa Gsm 😂😂😂
Jamaaa linamuiga mondi kila kitu
Aige video ya Komasava 😂😂😂😂😂
Brooooo toa ngoma wachakukopy
Hhahahhahahahahah
Shida kaka unapendelea sana mbona kamutaja diamond sana kuliko horm ama diamond ndo kafanya manaake sielewi 😅😅😅
Diamond Platnumz no play Bro he does things really same ❤️🔥👑
Anajitaid kufanana na bos wake😂😂😂😂😂
Hamo zee la masifa anacho kifanya diamondi angeifany hamonyz pasinge kalika bong
Umeonaee pangewaka atalii😂😂
Tuseme mondi akivaa kiatu ndo kinaenda mjini au hii imekaaje
Hawa vijana wako sawa sababu wanajigunza kwa menye ashatoboa
Kacopy
simba dangote 💥💯🇹🇿
Ukitaka kusafili na passport ya diamond haitakufikisha airport tafta njia nyingine shehe
They have a saying if you can’t beat them join them . I cannot stand this boy harmonize.
Huyu mpumbavu Harmonize anapenda sana kuiga, iga ufe
Tunataka nyimbo itakayo ipita komasava sio kukopoy ujinga kazi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahahaha kweli nimeamini watu wa fupi hawaendi peponi😅😅😅 bt mido ulishawahi kusema hamomaharo ni lilmodo wake ni daimond
Atamuhiga mpaka kunyamba diamond ameva na pensi kwaju wakione Diamond atamuweka mjini Sana uyo shenziiiiiiiiiii
Pagumu
Afu cha mondi icho
Do! Noma sanaaa!!
MKIAMBIWA MOND BABA MNABISHA😅
Wakwanza 😁